App REVIEWS
Good
Waste of time no tv nothing at all
nice app
No your application not good,I don't understand at all
Faltu
Unajiungaje kwangu inagoma kufungua hizo chanel hata moja siioni
🇹🇿🙋📱
I'm a doctor
Si mufungue free channel hizo za kulipia kuzifunge kungueni itv ntv ktn citizen tbc star na nyenginezo fanyeni kama tv+africa application yao iko vizuri
Doctor
Dl
Good
App ya kijinga sana,very disappointed
Channel mmeweka nyingi kumbe hazichezi! Jamaani yaani nimepakua app hii ninayo ila kama hamjui channel zinazocheza ni chache kuliko zisizocheza ikiwemo ZBC, ITV, TBC, CLOUS TV, CHANNEL TEN, SINENA ZETU n.k hazichezi hilo mfahamu hivyo. Tupatieni raha basi kwa kuboresha hii app maana kwa sasa ni wengi ambao tunatumia mfumo huu wa android nitafura mkiufanyia kazi ushauti huu.
nzuri sana marekebisho kidogo mmuifanyie
iko safi lakin inafika mda ina stuck cjui kwann
It is good
awesome app
It's ok not perfect in away,y?few channels not working but few working as well which u can watch, if those channels wat not working get fix this app would b super and more channels added english as well,need a reply to our comments tho bcz there r room for improvement, last upate was poor bcz it's too long for another.
Awesome app. Nzuri sana